Hi! guyz

babylove

Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
59
Reaction score
5
Mambo vipi?

Naomba mniakaribishe humu jamvini nimependezwa na michango yenu mingine inafurahisha.

i love you all.
 
Wow..very warm welcome babylove..what a sexy name! Michango yako ni muhimu sana hapa, natumai utawasha nuru mpya kwa uwepo wako. watokea pande gani dunia hii?
 
Unaonyesha kiasi gani ulivyokuwa mkali kwenye hii fani yetu, unataka ubebe jumla? uliza kwanza she/he?
 
Karibu sana ndani ya ukumbi huu, you will not be disappointed kwa sababu humu tunaishi kama ndugu.
 
Unaonyesha kiasi gani ulivyokuwa mkali kwenye hii fani yetu, unataka ubebe jumla? uliza kwanza she/he?

hahaha kiongozi, kama kusoma sijui na picha je nisione?
 
Du huenda mnajuana!!!!!!!
Hatufamiiani, sisi wa tz tunafanya vizuri sana sana kwenye BBA na huyu mpwa wangu alitakiwa akashiriki alivyomvamia huyu mgeni si mchezo.
 
duh..sasa ngoja nimwongoze kwenye jukwaa husika maana hapa naona mtamfanya atende dhambi tu...
 
Unaonyesha kiasi gani ulivyokuwa mkali kwenye hii fani yetu, unataka ubebe jumla? uliza kwanza she/he?

Wee waache tu mkuu, hii fani ina wenyewe. Shauri yake akilivaa jidude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…