Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo vipi?
Naomba mniakaribishe humu jamvini nimependezwa na michango yenu mingine inafurahisha.
i love you all.
Unaonyesha kiasi gani ulivyokuwa mkali kwenye hii fani yetu, unataka ubebe jumla? uliza kwanza she/he?Wow..very warm welcome babylove..what a sexy name! Michango yako ni muhimu sana hapa, natumai utawasha nuru mpya kwa uwepo wako. watokea pande gani dunia hii?
Du huenda mnajuana!!!!!!!Unaonyesha kiasi gani ulivyokuwa mkali kwenye hii fani yetu, unataka ubebe jumla? uliza kwanza she/he?
Unaonyesha kiasi gani ulivyokuwa mkali kwenye hii fani yetu, unataka ubebe jumla? uliza kwanza she/he?
Hatufamiiani, sisi wa tz tunafanya vizuri sana sana kwenye BBA na huyu mpwa wangu alitakiwa akashiriki alivyomvamia huyu mgeni si mchezo.Du huenda mnajuana!!!!!!!
Hatufamiiani, sisi wa tz tunafanya vizuri sana sana kwenye BBA na huyu mpwa wangu alitakiwa akashiriki alivyomvamia huyu mgeni si mchezo.
Unaonyesha kiasi gani ulivyokuwa mkali kwenye hii fani yetu, unataka ubebe jumla? uliza kwanza she/he?
Willkommen!Mambo vipi?
Naomba mniakaribishe humu jamvini nimependezwa na michango yenu mingine inafurahisha.
i love you all.
babylove lol
haya karibu jamani