miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
aiseee jaribu kufanya umesimama uone labda huwa unajipinda sana kama unaendesha baiskel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu Mwenyewe Huyu Anaeomba Ushauri Mbona Mbishi Sasa Anashauliwa Acha Ngono Anasema Siwezi, Anaambiwa Unajnini Anasema Labda Wewe Ndio Unalo, Nenda Hospitalini Ndio Maana Nikaja Hapa Sasa Hapa Pana Hospitali? Wewe Naona Hauumwi Na Uache Kujiombea Magonjwa Ugonjwa Sio Kitu Kizuli
Nani kakwambia anafanya zinaa?
Hapana nipe tiba nitaachaje ngono wakati mwili unafanya kazi
Sina jini
Siwezi acha ngono
Nachotaka ni suluhisho
Sipunguzi hadi nikamatwe na mgambo wa jijiFunny, but punguza kuzurura