Hi ikoje wadau? Nikifanya mapenzi kiuno kinauma

aiseee jaribu kufanya umesimama uone labda huwa unajipinda sana kama unaendesha baiskel
 



Sina jini

Siwezi acha ngono

Nachotaka ni suluhisho
 
Kwa picha ya haraka haraka haL hyoo husababishwa na kuwa ovr weight hasa kuwa na kitambi na viLe vile ni mvivu kufanya mazoez@@ovaa
 
Si kawaida kabisa. Maana yake uache kabisa huo mchezo. Mwenyewe nilikuwa na tatizo la kupoteza uwezo wa kuona kila baada ya hizo vurugu. Been clean for 21 days now, welcome to the club.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…