Hi ikoje wadau? Nikifanya mapenzi kiuno kinauma

Kwa picha ya haraka haraka haL hyoo husababishwa na kuwa ovr weight hasa kuwa na kitambi na viLe vile ni mvivu kufanya mazoez@@ovaa



Mazoezi nafanya ya kubeba vitu vizito
 
Acha kufanya ngono utapona ila anza kufanya mapenzi.....usiwe na haraka
 
Unatakiwa ukamuone doctor kwnza akufanyie vipimo kwnza kwenye hicho kiuno chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…