Hi JF members!

Rafiki Mtz

Member
Joined
Jul 28, 2014
Posts
23
Reaction score
5
Naomba kukaribishwa niweze kushiriki nanyi ktk mijadala mbalimbali. Nimefuatilia kwa makini na hatimaye nimeona vema nijiunge. Nataraji kujifunza kwenu, na pengine nanyi huenda mkajifunza toka kwangu!
 
karibu saana mgeni jisikie huru kabisa kama upo nyumbani.
 
Karibu sana Mkuu, karibu mpaka ndani hapo nyuma ya mlango kwenye hiyo fridge kuna vitafunio mbali mbali chagua upendavyo na kinywaji pia upendacho ujichane kwa raha zako.

Naomba kukaribishwa niweze kushiriki nanyi ktk mijadala mbalimbali. Nimefuatilia kwa makini na hatimaye nimeona vema nijiunge. Nataraji kujifunza kwenu, na pengine nanyi huenda mkajifunza toka kwangu!
 
Karibu sana Mkuu, karibu mpaka ndani hapo nyuma ya mlango kwenye hiyo fridge kuna vitafunio mbali mbali chagua upendavyo na kinywaji pia upendacho ujichane kwa raha zako.

Akimaliza na hela yetu atuachie hapohapo
 
Karibuu sanaa...jisikie upo nyumbani.
 
Karibu sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…