Rafiki Mtz
Member
- Jul 28, 2014
- 23
- 5
Naomba kukaribishwa niweze kushiriki nanyi ktk mijadala mbalimbali. Nimefuatilia kwa makini na hatimaye nimeona vema nijiunge. Nataraji kujifunza kwenu, na pengine nanyi huenda mkajifunza toka kwangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kukaribishwa niweze kushiriki nanyi ktk mijadala mbalimbali. Nimefuatilia kwa makini na hatimaye nimeona vema nijiunge. Nataraji kujifunza kwenu, na pengine nanyi huenda mkajifunza toka kwangu!
[h=2]karibu....usiwe tu muongomuongo....jukwaa husika ni hilo chini...
Utambulisho (Member Intro Forum)[/h]
Say hello and introduce thyself to the other JF members...
wee ni ke au me?
Karibu sana Mkuu, karibu mpaka ndani hapo nyuma ya mlango kwenye hiyo fridge kuna vitafunio mbali mbali chagua upendavyo na kinywaji pia upendacho ujichane kwa raha zako.
wee ni ke au me?
natambua uwepo wako mkuu
Karibuu sanaa...jisikie upo nyumbani.
Karibu
Karibu sana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
karibu saana mgeni jisikie huru kabisa kama upo nyumbani.
wee ni ke au me?