ME wakuu!
Heart, nyumbani nawasiliana kwa uhuru! Nitakuwa huru humu!!
Karibu.
Una umri gani labda? Hii ni procedure ya strategic marketing, kujua kama uko 'edible fruit'.
Usiogope, hutaumia.
Karibu JFNaomba kukaribishwa niweze kushiriki nanyi ktk mijadala mbalimbali. Nimefuatilia kwa makini na hatimaye nimeona vema nijiunge. Nataraji kujifunza kwenu, na pengine nanyi huenda mkajifunza toka kwangu!