Hi JF members!

Hi JF members!

Karibu.

Una umri gani labda? Hii ni procedure ya strategic marketing, kujua kama uko 'edible fruit'.

Usiogope, hutaumia.

Funny! Bila shaka ni confidential.Edible or non edible huenda ikawa technical jargon...naomba ufafanuzi Mkuu!
 
Naomba kukaribishwa niweze kushiriki nanyi ktk mijadala mbalimbali. Nimefuatilia kwa makini na hatimaye nimeona vema nijiunge. Nataraji kujifunza kwenu, na pengine nanyi huenda mkajifunza toka kwangu!
Karibu JF
 
Back
Top Bottom