Hi JF Members

Hi JF Members

Rafiki Mtz

Member
Joined
Jul 28, 2014
Posts
23
Reaction score
5
Naomba nibishe hodi rasmi maana si busara kuingia ndani bila kubisha hodi angali kuna wenyeji!
Hi wakongwe wote! Salute!
 
Karibu sana jamvini...angalau umekuwa na busara. Sisi wengine tuliingia tu bila hodi-umetugunza kitu
 
Back
Top Bottom