Hi;napenda wanaume kama wewe!!piga simu

Mkuu kwa kuweka simu yake sikuungi mkono. Kwani ungesema anayetaka aku pm ingekuwa issue.? Sasa kama anajamaa ambaye ananamba yake si unakuwa umemuuza na kumdhalilisha?
 

Sasa mbona unalazimisha wenzio wawasiliane na huyo mtu? Kwa hiyo kitu ulichokiona wewe ni kibaya unataka kuwasukumia wenzio. Acha hizo, wewe ni mmoja wao katika huo mtandao.
 
yawezekana ni jasusi mhh aka kambinu wakikatumi wakware wengi watadakwa humu jf. jamani privancy ni muhimu
 
Mkuu Pole....nadhan huyu kuna kazi maalam anaifanya...hakuna cha penzi wala nini..watch out broda..ametumwa huyu kukuharibia kwa mwandani wako.

vince ulikuwepo
Naangalia anaishia wapi;ndio maana nikaweka hadharani upumbavu wake..
 
Mkuu kwa kuweka simu yake sikuungi mkono. Kwani ungesema anayetaka aku pm ingekuwa issue.? Sasa kama anajamaa ambaye ananamba yake si unakuwa umemuuza na kumdhalilisha?

Mkuu nadhan sijakosea;angekuwa mstaarabu asingeendelea kunitafuta badala ya kukaa na bwana wake..nadha anajiuza kabla ya wewe kumtetea anauzwa....
 
Pdidy umekosea kumuanika huyo demu bila sababu ya msingi. Kama ni hivyo server ya JF ingeelemewa na thread kama zako. Hivi ina maana mpaka leo hii wewe kama wewe hujawahi kumsumbua mwanamke yoyote mpaka akakuona kero? Ustaarabu ulioutumia ndiyo umenishangaza, yeye kama yeye alikuwa akieleza hisia zake japo kwako zilikuwa ni kero. Ungemshauri kama vile mshauri nasaha afanyavyo kuwa njia aliyotumia siyo sahihi, wewe umeoa na unampenda Mungu wako hivyo huwezi kudondokea katika dhambi ukamkosea bure Mungu wako hivyo usinisumbue ukizidi nitakupa mke wangu uongee nae ili ajue wewe ndiyo unataka uwe mwizi wake, nadhani angeacha.
 
sidhani kama umetumia busara kumuweka hapa kila mtu angekuwa ana anika anayemsumbua, hapa pangekuaje malizana nae huko huko.
 
kaka umefanya la maana sana kumuanika humu......usumbufu mwingine hauna maana........
 
Big up Pdidy! Hii nimeipenda! :spy:
 
Pdidy anajaribu kumsaidia huyo dada, wala hajamdhalilisha hata kidogo. JE AKIWEKA PICHA ZAKE MTASEMAJE?
 
Pdidy hujatumia busara kumdhalilisha binti wa watu,naomba umtake radhi Irene wa kumletea usumbufu usio wa lazima.Kama alikupenda na umwemwambia hauko free ungeishia hapo.:embarassed2:. Bahati yako Groan imeondolewa ungekuwa wa kwanza kuipata ya kwangu.
 
Yawezekana mnaishi pamoja au ni Jirani yako, jamii inahitaji huduma yako please!
 
Ungempa ushauri kwa kina sio kuweka namba yake hadharani,namba ya mtu ni siri kama account number kuwa mwangalifu zaidi.
 
wanaJF umsimhukumu sana PDidy..huyo aliempigia simu hakumpigia kwa nia njema...ni kama hiyo ni set fulan ya shari kumharibia mahusiano. kwann alipompigia tena mara akapokea mwanaume? yeye amemuweka hapa ili kama kuna atakayependa kufuatalia ili ijulikane kama kweli ni mwanamke na sio mtu alietaka kumpaka matope Pdidy..naamin huenda hata hiyo namba haitakuwepo tena hewani kwan kazi yake iliyopangwa kufanyika imekamilika japo bila mafanikio. So guys think of it deeply..haya mambo yapo sana hapa pale mtu anapokuwa na chuki binafsi na mtu fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…