Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 547
- 892
Wakuu hii ishu inauma sana.
Hawa jamaa wanaposimamisha kila daladala ni kwa ajili ya kula 2000
Atakapokuja Rais mwingine atapata shida sana kuirejesha nchi mahala pake