Kisesetusese JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 547 Reaction score 892 Jul 13, 2026 #1 Wakuu hii ishu inauma sana. Hawa jamaa wanaposimamisha kila daladala ni kwa ajili ya kula 2000 Atakapokuja Rais mwingine atapata shida sana kuirejesha nchi mahala pake
Wakuu hii ishu inauma sana. Hawa jamaa wanaposimamisha kila daladala ni kwa ajili ya kula 2000 Atakapokuja Rais mwingine atapata shida sana kuirejesha nchi mahala pake
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,307 Jul 13, 2026 #2 Kisesetusese said: Wakuu hii ishu inauma sana. Hawa jamaa wanaposimamisha kila daladala ni kwa ajili ya kula 2000 Atakapokuja Rais mwingine atapata shida sana kuirejesha nchi mahala pake Click to expand... Wapi huko? Hata hapa Dodoma Kila km2 traffic Tena dereva anamwambia konda umechenji Hela?
Kisesetusese said: Wakuu hii ishu inauma sana. Hawa jamaa wanaposimamisha kila daladala ni kwa ajili ya kula 2000 Atakapokuja Rais mwingine atapata shida sana kuirejesha nchi mahala pake Click to expand... Wapi huko? Hata hapa Dodoma Kila km2 traffic Tena dereva anamwambia konda umechenji Hela?
pamoja Santa JF-Expert Member Joined Jan 6, 2019 Posts 1,296 Reaction score 1,748 Jul 13, 2026 #3 Wewe jamaa vipi kwani hao madereva wanajua ndo maana wanatoa hizo hela Asilimia 99.9 ya daladala za bongo zinamakosa, hao madereva bora watoe 2000 kuliko kulipa zaidi ya 30k au inakuuma wao kutoa hizo buku2 2, wao wameridhia wewe inakuuma nini
Wewe jamaa vipi kwani hao madereva wanajua ndo maana wanatoa hizo hela Asilimia 99.9 ya daladala za bongo zinamakosa, hao madereva bora watoe 2000 kuliko kulipa zaidi ya 30k au inakuuma wao kutoa hizo buku2 2, wao wameridhia wewe inakuuma nini