hi ni sawa?

fimbombaya

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
47
Reaction score
12
kuna tukio ambalo linaniduwaza.kitendo cha bibi mzaa mama kuolewa na babu mzaa baba kinaendelea kunifanya nijue dunia ya ajabu .hii imetokana mara baada ya wawili hao kufiwa na wenziwao kwa vipindi tofauti.naomba kujua hii imekaaje?
 
DU!! hii mpya kabisa masikioni mwangu...........
KUISHI KWINGI KUONA MENGI...........
 
I dont see the problem since they are both widowed, and its not like they are related!!, So unless they still can and are planning to have children there is nothing wrong with that!!!!!!!!!
 
Duuh! ndo kwanza naipata ya namna hii,dunia ina mambo.
 
I dont see the problem since they are both widowed, and its not like they are related!!, So unless they still can and are planning to have children there is nothing wrong with that!!!!!!!!!
mhhh nemo... but sure hakuna tatizo lolote hapo ....
 
eeeehh kwa kweli
tunaowaangalia na kusema
hekima busara ziko kwao ndo kwanza
wana act kama ndo wame turn 16..

Now I wonder wataweza vipi
kuwakanya vituukuu na wajukuu
wasifanye mambo kahama hayo???
 
Mi ndio kwaanza nimejua leo. Kumbe bibi mzaa baba na babu mzaa mama hawako related? Sasa wakipata mtotooo... !
 
kama mabinamu wanaoana sembuse wao????

aah!! kwa raha zao wazee!!!
 
mh!! Hapana hii inaweza ikawa uarabun mana kwa sisi huku wabantu cjui? Ila duh!
 
mhhh nemo... but sure hakuna tatizo lolote hapo ....

Viper,
Apart from them sharing the blood with the grandkids,these are two seperate individuals so tatizo liko wapi ? Please feel free to educate me.
 
I dont see the problem since they are both widowed, and its not like they are related!!, So unless they still can and are planning to have children there is nothing wrong with that!!!!!!!!!

the bolded words are most important here, hakuna anaevunja ndoa ya mwenzake, hakuna anaedhulumu penzi la mtu, kwa christians kiapo huwa ni '..... mpaka kifo kitutenganishe...' so kwa ufupi hakuna kinachowafunga tena pamoja na waliokuwa waume/wake zao, acheni wazee wapeane raha nao wana haki jamani.. ila duh nimeikubali hiyo.. mumo kwa mumo watu hawachezi mbali!!!!!!!!!!:A S embarassed:
 
kuna tukio ambalo linaniduwaza.kitendo cha bibi mzaa mama kuolewa na babu mzaa baba kinaendelea kunifanya nijue dunia ya ajabu .hii imetokana mara baada ya wawili hao kufiwa na wenziwao kwa vipindi tofauti.naomba kujua hii imekaaje?
Itaonekana kama ni jambo la kawaida sana kwa baadhi ya watu, but madhara yake kwa kizazi kijacho ni mabaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…