fimbombaya
Member
- Apr 11, 2011
- 47
- 12
kuna tukio ambalo linaniduwaza.kitendo cha bibi mzaa mama kuolewa na babu mzaa baba kinaendelea kunifanya nijue dunia ya ajabu .hii imetokana mara baada ya wawili hao kufiwa na wenziwao kwa vipindi tofauti.naomba kujua hii imekaaje?