nasikitika kukuacha lakini kesho ni siku ya kazi,sweetdreams.hahahahahh lol
usijali nitaogelea bahari zote saba
na hata maziwa yote mpkana nipate chozi lako...
sijui ntaishi vipi bila wewe....
haya mwalimu anakuja ....
nta malizia kuandika baadaye kwenye kipindi cha dini.
sababu yule sister ni mpole....
kwa sasa kalamu imeanza kuisha wino..
na kesho ntanunua daftari kubwa..
yote kwa ajili yako...
hahahah lol