Once again
Habari...
Mimi ni member mpya
Ni mfanyabiashara
Nia na dhumuni la kujiunga na jukwaa hili la JF ni kushare mawazo lakini leo kuu ni kupata wateja kibiashara kwa kutangaza biashara nayoifanya
Biashara nazohusika nazo ni
BIDHAA ZA SOLAR NA UMEME
NA MAGODORO
Nimefurahi kukutana nanyi na nawatakia kila la kheri....