IMRANMUSHI
Member
- Sep 8, 2016
- 42
- 14
- Thread starter
- #101
Ishu ni kujiamn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Please jaribu kuandika kwa ufasaha. Huu uandishi wa Facebook na Instagram wa "ncrud" hata uwe na nondo namna gani nobody will take you seriously. Sana sana utakuwa judged kuwa ni denti sharobaro wa sekondari. Be serious now. Umetinga kwa great thinkers kwenye watu wa kila aina.Kwan namuogopa nan ncrud
Acha ubishi wa kitoto.Kama hutaelewa siunapita tu! Hulazimishwi kusoma mkuu
Ondoa picha, haina maana yoyote!Me ni mgeni naomben mnipokee[emoji124] [emoji124] View attachment 396138
Amesema ni mgeniPicha ya nini wewe, mbona unakua mshamba ivo
Wewe ni Me au Ke?Me ni mgeni naomben mnipokee[emoji124] [emoji124] View attachment 396138
Misuko suko ktk hoja ndo kipimo cha GT yako alafu wewe Una heshima embu nyambulisha heshima yako ikoje? Maana umesema unayo tu kumbe inaweza kuwa heshima 1g watu wa heshima 10t na wamenyamaza kimya. Karibu banaSina hasira hata kidogo nlichogundua ni kwamba watu wanasema hapa panahitajika akili tu co sura yaan great thinkers sasa kivp tutakuwa ma great thinkers kam2 akikosea tutashindwa kumuelimisha? Badala yake tunamkejeli bd hatujawa ma great thinkers.....
Rekebisha uandishi wako Dogo hii sio FacebookNashukuru sana kwa wote mlionitolea maneno mabaya ambayo cjaridhishwa nayo labda2 niwajb kwamba kwann mcnge niambia2 nimekosea kulikoni kunipa maneno km hayo? Me huwa Nina heshima situkanan na mtu ila2 naomba km unahic umetoa neno lolote ambalo co zuri nitake radhi nitakusamehe
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Natoa Shilingi Kama mchagga bac atakuwa wa kichinaNdio me ni mchaga
Makamanda wapi mkuu!??Naombeni radhi lakini kwan hamjuhi mgeni huwa anakosea makamanda nitazoea tu na nitakuwa kama nyie....
Afu unawezakuta yuko smart... kaweka picha sio yake watu wanatoa mapovu ye anawachora.Dah lakini kajipatia umaarufu, page ya 3 sasa, apo alipo meno yote nje kasoro macho
Aaah wapi!! Huo uandishi tu unaonesha yeye ni naniAfu unawezakuta yuko smart... kaweka picha sio yake watu wanatoa mapovu ye anawachora.
Akili ni nywele... kila mtu ana zake.