Hi

Hi

Karibu sana hapo ndo kuna kila dizain za watu. Kama ulivojitambulisha tu apo umeona thread za utambulisho hazinaga comment nyingi ila sabbu ya picha umewapa kitu cha kuongea
Ila dont take it serious..potezea tu uendelee kujifunza
 
Kijana huku sio badoo kwamba unakuja kuuza sura sasa picha umetuwekea ya nini?
1473408687550.jpg
 
Kwan namuogopa nan ncrud
Please jaribu kuandika kwa ufasaha. Huu uandishi wa Facebook na Instagram wa "ncrud" hata uwe na nondo namna gani nobody will take you seriously. Sana sana utakuwa judged kuwa ni denti sharobaro wa sekondari. Be serious now. Umetinga kwa great thinkers kwenye watu wa kila aina.
 
Sina hasira hata kidogo nlichogundua ni kwamba watu wanasema hapa panahitajika akili tu co sura yaan great thinkers sasa kivp tutakuwa ma great thinkers kam2 akikosea tutashindwa kumuelimisha? Badala yake tunamkejeli bd hatujawa ma great thinkers.....
Misuko suko ktk hoja ndo kipimo cha GT yako alafu wewe Una heshima embu nyambulisha heshima yako ikoje? Maana umesema unayo tu kumbe inaweza kuwa heshima 1g watu wa heshima 10t na wamenyamaza kimya. Karibu bana
 
Nashukuru sana kwa wote mlionitolea maneno mabaya ambayo cjaridhishwa nayo labda2 niwajb kwamba kwann mcnge niambia2 nimekosea kulikoni kunipa maneno km hayo? Me huwa Nina heshima situkanan na mtu ila2 naomba km unahic umetoa neno lolote ambalo co zuri nitake radhi nitakusamehe

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Rekebisha uandishi wako Dogo hii sio Facebook
 
Back
Top Bottom