msaneza baby
Member
- Sep 9, 2016
- 19
- 8
You're welcome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
et ni kweli una urafiki wa godWe Mr wa 18+ jiangalie vzr
et ni kweli una urafiki na kaoge?We Mr wa 18+ jiangalie vzr
IlaSina maana hiyo
Sikufaham kwamba utambulisho wa humu hauitaj pcha
Picha ni fb na mmu na Bado umeitoa Picha sasa baada ya kujuaSikufaham kwamba utambulisho wa humu hauitaj pcha
Unamaanisha nnDah lakini kajipatia umaarufu, page ya 3 sasa, apo alipo meno yote nje kasoro macho
Powa kakaKwa hiyo unataka kusemaa
Imooooooooooooooo.........[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina hiyo miaka wwHuyo ndio bwana mushi, ana 46 years..bado kinda kabisa utazan wa miaka 12
Ndio me ni mchagaHahaaa wa kishmundu huyu
Ndio nan huyoUmemuacha wapi kaogGe?
Kwan namuogopa nan ncrudHuyu hatarudi tena
Unamaanisha nn
Nltak kuulza mkuu umeniwah ingaw kidizain flan hv[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] huyu jamaa kanichekesha sana kwa kuweka picha kama utambulisho ila vizuri pia
Karibu
Ila mkuu uvumilie tu maana kwenye hiyo picha kuna watu wanaona mpaka visivyo onekana
Badala ya kuangalia picha wataangalia paa lisilowekwa ceiling board ,
Ndio changamoto zenyewe
Powa bhn MrAll in all, mapozi umejaaliwa jamaa! Mapozi nawe we na mapozi nawe....
EhImran..Mtu anapocheka sana macho hufunika