Hi

Hi

Mkuu Safi Sana.. Huu ni mtandao kama mingine. Mbona pia kuna jukwaa la picha na kuna picha za watu.. Usiwaze ila kwa kuwa umeshafahamika hakikisha unatoa michango ya maana na usiwe pumba nyingi.. Relax ila pia karibu *MAKAPUKU FORUM*
 
All in all, mapozi umejaaliwa jamaa! Mapozi nawe we na mapozi nawe....
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] huyu jamaa kanichekesha sana kwa kuweka picha kama utambulisho ila vizuri pia
Karibu
Ila mkuu uvumilie tu maana kwenye hiyo picha kuna watu wanaona mpaka visivyo onekana

Badala ya kuangalia picha wataangalia paa lisilowekwa ceiling board ,

Ndio changamoto zenyewe
Nltak kuulza mkuu umeniwah ingaw kidizain flan hv
 
Hahaha nashukur wkt naingia nilkuwa mpooooole kumbe ukileta ujuaj nd inakuw hv?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom