Hi

Hi

LLB

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
53
Reaction score
10
Wadad wanasemaga mwanaume anatakiw awe gentlemen.
Siwaelewi.
Nsaidien gentlemen ni mtu wa aina gani??
 
kwa kifupi.
a man of good social standing, as a noble or an armigerous commoner, a man with an independent income who does not work for a living.
 
kwa kifupi.
a man of good social standing, as a noble or an armigerous commoner, a man with an independent income who does not work for a living.
Duh hiko kingeretha thatha broo
 
Ni mtu/mwanaume ambaye anaishi atakavyo yeye na wala siyo watakavyo watu...
 
nilivyokujibu kwa hiyo luga utaielewa sababu hata swali umeuliza kwa kutumia neno la hiyo lugha
Tusihame mada ntafsirie tu mkuu maana hapa nlipo sina hata kamusi.
 
Back
Top Bottom