Hi

Wengi hawajui wanadhani hii ni kama facebook, hawajui kama hii ni forum. Harafu hii inatokana na kutopata uzoefu. Yaani hawajatembelea mara kwa mara kuelewa maisha ya huku yakoje. Mtu kaingia tu mara moja mbili then katengeneza account.
Sasa na wao kabla ya kujiunga hawafanyi kautafiti kidogo huku tunaishije?
 
Wengi hawajui wanadhani hii ni kama facebook, hawajui kama hii ni forum. Harafu hii inatokana na kutopata uzoefu. Yaani hawajatembelea mara kwa mara kuelewa maisha ya huku yakoje. Mtu kaingia tu mara moja mbili then katengeneza account.
Sema bado ana nafasi ya kufuta picha zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…