luvie pearl
Member
- Jun 20, 2019
- 91
- 65
Kweli usiyaingie maji usiyojua kimo chake, ila tunajifunza sio kila kitu tunazaliwa tunajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naunga mkono juhudi hizi kwa member mwingine atakayekuja kujitambulisha
Katupia na namba kabisaaaHapa ni mwendo wa kupokea tu wageni mkuu
Hahaha hahaha hahahaHii ni mara ya tatu nashughudia mtu anaingizwa kingi.
@Mod pls futeni hii thread.
Acha uongoHuyu member mpya ana sura ya kisenegal
Hawezi kaa mwezi huyo dogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],, jamaa umeingizwa king na ww ukaingia, naamini haumalizi mwezi haujabadili ID
Hongera kwa kujifunza sasa badili id njoo na ingineamna co mbaya kama uja kosea uwez jua kama uko correct
Sijui umeanza lini roho mbayaNaunga mkono juhudi hizi kwa member mwingine atakayekuja kujitambulisha
Muache daktar akarimu wageni.Sijui umeanza lini roho mbaya
Ahsante mchepuko wake Babu, busara zako Babu hazifikii akishakunywa K Vant[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijiite Mgugu kale kamtu kanoko sana
Usitake nimwage mchele hapa mbibi...Sijui umeanza lini roho mbaya
Wazalendo ni wachache sana nchi hii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Katupia na namba kabisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante mchepuko wake Babu, busara zako Babu hazifikii akishakunywa K Vant
Amebaki huyo na yule wa juzi tuuWazalendo ni wachache sana nchi hii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana kanifanya mchepuko
Mwaga nyau ww usintishe[emoji848]Usitake nimwage mchele hapa mbibi...
Sasa mzalendo kama huyu kwa nini asipokelewe kwa nderemo, vifijo na vigelegele....Amebaki huyo na yule wa juzi tuu