sabrina mustapha
New Member
- Jul 8, 2019
- 2
- 12
Hodi humu ndani jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi tupia picha ingine bibie [emoji4]Hodi humu ndani jamanView attachment 1149675
OK nimekupataSabrina , wacha hayo mambo ya kutuma vipicha picha , ujue hii sio fb
Watu humu wanatumia fake id , utakuja kulizwa shauri yako
Humu kuna kila aina ya wanyama wakali wanaowinda
Simba , chui , hata ma jaguar wanapatikana humu so kua makini na akina
Gu dume
Zero IQ
Amerikan ninja ,
Hao jamaa ni zaid ya fisi
Hakuna sheria inayozuia mtu kuweka utambulisho wake Au pichaSabrina , wacha hayo mambo ya kutuma vipicha picha , ujue hii sio fb
Watu humu wanatumia fake id , utakuja kulizwa shauri yako
Humu kuna kila aina ya wanyama wakali wanaowinda
Simba , chui , hata ma jaguar wanapatikana humu so kua makini na akina
Gu dume
Zero IQ
Amerikan ninja ,
Hao jamaa ni zaid ya fisi
Anakutania tu huyoOK nimekupata
Baharia katika ubora wako...Huwezi kuwa registered mpaka uweke ya mwili mzima. Nyingine ugeuke na nyuma.
Acha kutuharibia mkuu, mambo gani hayo?Sabrina , wacha hayo mambo ya kutuma vipicha picha , ujue hii sio fb
Watu humu wanatumia fake id , utakuja kulizwa shauri yako
Humu kuna kila aina ya wanyama wakali wanaowinda
Simba , chui , hata ma jaguar wanapatikana humu so kua makini na akina
Gu dume
Zero IQ
Amerikan ninja ,
Hao jamaa ni zaid ya fisi
weka namba yako ya simu mkuu..Hodi humu ndani jamanView attachment 1149675
Upo vizuri. . umefanana na Juliana shoza, tegemea vurumai katika PM yako soon!!!Hodi humu ndani jamanView attachment 1149675
bila komenti yako huu uzi usingekamilika.Una nywele nzuri sana best karibu.
Hahaha na wew umejaa kingiUna nywele nzuri sana best karibu.