Mkuu umenionea hili jukwaani huwa napita kuchungulia lakini nilipo ona jina la Sabrina nashangaa nikavutiwa kujua kwa mara ya kwanza na comment katika jukwaani hili.bila komenti yako huu uzi usingekamilika.
Mkuu kaweka dawa ila nyingi huoni kwa nyuma ya mgongo zipo nyingi kazibana halafu kama chotara 😜Hahaha na wew umejaa kingi
Vitu vyako hivo comrade.Upo vizuri. . umefanana na Juliana shoza, tegemea vurumai katika PM yako soon!!!
Kun watu humu ndani rahisi sana kudakwa
Najongea viunga vya PMVitu vyako hivo comrade.
hapana sikuonei.....pamoja na yote komenti yako imestahili kuwa hapa.Mkuu umenionea hili jukwaani huwa napita kuchungulia lakini nilipo ona jina la Sabrina nashangaa nikavutiwa kujua kwa mara ya kwanza na comment katika jukwaani hili.
Sabrina , wacha hayo mambo ya kutuma vipicha picha , ujue hii sio fb
Watu humu wanatumia fake id , utakuja kulizwa shauri yako
Humu kuna kila aina ya wanyama wakali wanaowinda
Simba , chui , hata ma jaguar wanapatikana humu so kua makini na akina
Gu dume
Zero IQ
Amerikan ninja ,
Hao jamaa ni zaid ya fisi
OK nimekupata
Kuna nini hapa?Heheheh mkiingizwa mkenge mumsingizie max Viatu vya Samaki RRONDO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ageuke ugundue niniHuwezi kuwa registered mpaka uweke ya mwili mzima. Nyingine ugeuke na nyuma.
Karibu,hongera uko vizuri.Hodi humu ndani jamanView attachment 1149675