HI

HI

MANI

Platinum Member
Joined
Feb 22, 2010
Posts
7,318
Reaction score
6,391
Hello wana jf,

Wakubwa wangu shikamooni na rika langu hali zenu, nipokeeni ili tuchangie pamoja.
 
Marhaaaba mtoto mzuri karibu ndani bana, ingia tu na viatu hakuna shida. Keti hapo toa mawazo yako wosia wangu usibadilike kitabia huko mbeleni eeh umesikia?
 
Karibu sana, pita ukae jamvini na chochote tupatacho tugawane.
 
Back
Top Bottom