Hi

Hi

sabra

Member
Joined
Jun 2, 2010
Posts
25
Reaction score
0
Nawapenda wote,

'Ombeni nanyi mtapewa,
Bisheni nanyi mtafunguliwa,
Tafuteni nanyi........'
BIBLIA


Mimi nabisha,
Nifungulieni geti hafu mlango wa mbele,
hafu, hafu, hafu......

Sabra Esq.
 
karibu sana, mlango u-wazi huo pita
 
Nawapenda wote,

'Ombeni nanyi mtapewa,
Bisheni nanyi mtafunguliwa,
Tafuteni nanyi........'
BIBLIA


Mimi nabisha,
Nifungulieni geti hafu mlango wa mbele,
hafu, hafu, hafu......

Sabra Esq.



Hahahahahaaaaaaa tukikuomba utatupaaaaaaaaa, mi wa kwanza nipe na mlango uwazi karibu mpaka ndani "Joke". Feel at home rafiki.
 
Asante Fide80, asante bht, Naamini mungu wangu atawajazi
 
Asante Tonge, Unaomba nini? Ukiomba kilicho halali kama chakula, fweza, ushauri; ktk uweza wangu utapata; Mengine tunamwomba mwenye enzi ambaye ni Mungu.
 
Charity asante sana, Jina nzuri... Naamini nipo home. Mengine ntajifunza kimyakimya
 
Hio zaburi 121 naipenda saana, uh Mungu akubariki kweli
 
Amen, tubarikiwe wote. Tuombeane na kuiombea nchi ili haki itawale.
 
Back
Top Bottom