Car4Sale Hiace inauzwa bei chee

Ushaipeleka "Body" mara ngapi
Ushaifanyia "Overhaul" mara ngapi?
Ina Vibali vyote valid (Maparo, Road Licence, SUMATRA, Bima)??
Kama upo Dsm kwa nini tuandikie mate, njoo uione nitafute
 
Kama upo Dsm kwa nini tuandikie mate, njoo uione nitafute
Sio kuandikia mate,
Huoni kama nikikutafuta nikiwa na hizi information tayari itakua nimetuia uda wangu vizuri kuliko kukutafuta halafu sijui chochote kuhusu hiyo gari??
We jibu tu hapa,
Ushaipeleka "Body" mara ngapi??
Ushaifanyia "Overhaul" mara ngapi?
Ina Vibali vyote valid (Maparo, Road Licence, SUMATRA, Bima)??
 
Poa nakujibu pm mkuu
 
Kwa sisi wanunuaji wa hizo gari kuukuu. Hiyo bei uliyoweka kwa gari namba B ni nyingi sana atleast ungeweka six or seven milioni ningekuelewa.

Hiyo gari hapo inaonyesha ilikuwa inabeba abiria. Kwa namba B inaonyesha ina 8 to 9 years Tanzania. Kwa bei ya siku ya Hiace tangu miaka ile ni 40,000. Hivyo hiyo gari tayari imeshaingiza 40,000 kwa siku mara 30 kwa mwezi mara 96 (miaka nane) ni sawa na kama 115,200,000/=.

Punguza bei mkuu mimi nipo interested ila kwa Six to Seven Millions.
 
Reactions: MC7
Sawa mkuu hoja yako nimeiweka mezani tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…