Hiace Super roof (dungu)

Hiace Super roof (dungu)

mmbangifingi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
2,839
Reaction score
566
Nani anafahamu bei ya Toyota hiace dungu katika showroom zetu za jijini Dar kwa sasa inafika Tsh ngapi? napendelea 3L engine, manual na je biashara ya daladala kwa hiace/vipanya bado inaweza lipa kwa Dar? njia/route zipi bora zaidi?
 
Zanzibar unaipata kwa 18mil,
Kuivusha+dalali+TRA+Plate number =2mil,
Jumla 20mil inabakia mambo ya bima na viti
 
Umesomeka mkuu,na vp kwa dar still inalipa daladala vipanya? route zipi hasa ningeweza kusajili? unajua tena mambo ya kuganga njaa bongo najua mambo yake,, hukawii mtu kuishiwa na kuumbuka
 
Back
Top Bottom