mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 566
Nani anafahamu bei ya Toyota hiace dungu katika showroom zetu za jijini Dar kwa sasa inafika Tsh ngapi? napendelea 3L engine, manual na je biashara ya daladala kwa hiace/vipanya bado inaweza lipa kwa Dar? njia/route zipi bora zaidi?