Nani anafahamu bei ya Toyota hiace dungu katika showroom zetu za jijini Dar kwa sasa inafika Tsh ngapi? napendelea 3L engine, manual na je biashara ya daladala kwa hiace/vipanya bado inaweza lipa kwa Dar? njia/route zipi bora zaidi?
Umesomeka mkuu,na vp kwa dar still inalipa daladala vipanya? route zipi hasa ningeweza kusajili? unajua tena mambo ya kuganga njaa bongo najua mambo yake,, hukawii mtu kuishiwa na kuumbuka