Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Mkuu kuwa mwelewa basi nimesema kama hujui usikomenti chochoteWanakuja
Ook ivi toilet paper hazizibi Choo ukiwa unatumbukiza ndani ya sinki la ChooIko kinatumika kuwekea toilet paper
Kazi yake ni kuweka Roller ya TissueUzi una picha
Naombeni mnieleweshe matumizi ya hiki kidude, nimekikuta kimepigwa bolt ukutani ndani chooni ila sijajua ni cha nini. Asanteni
ONYO :kama hukijui usikomenti chochote View attachment 2256288View attachment 2256289
Ukishaweka uzi hapa, inakuwa ni Mali ya umma, sio Mali yako tena.Mkuu kuwa mwelewa basi nimesema kama hujui usikomenti chochote
Mzee, lile ni karatasi laini..Ook ivi toilet paper hazizibi Choo ukiwa unatumbukiza ndani ya sinki la Choo
Watu nyie niwagumu sana kuelewaUtakuta eti na wewe ni baba wa familia very sad!
Waulize wahusika hapo mkuu tena kinyofoe kabisa afu nenda nacho ndipo wakupe jibu
Sawa Asante
Mpuuzi tuNimecheka jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KivipiInasikitisha sana..
UbebeKweli ushamba mzigo