Kifaa kina kazi kama mbili kubwa, kupunguza makelele kama utafungua sunroof.
au ukute ndio kimeunganishwa na ac kuleta hewa ikiwa umeeka mode ya kuvuta hewa kutoka nje ya gari.Kifaa kina kazi kama mbili kubwa, kupunguza makelele kama utafungua sunroof.
Pia kuruhus u hewa safi kuingia ndan ya gari hatakama kuna mvua.
HahahahahaaaaKifaa kina kazi kama mbili kubwa, kupunguza makelele kama utafungua sunroof.
Pia kuruhus u hewa safi kuingia ndan ya gari hatakama kuna mvua.
Inaitwa Shark-fin.
Angalau kidogo, wewe umeeleweka.Inaitwa Shark-fin.
Hiyo ni mbadala wa antena za kizamani, ambayo ndani inakua na uwezo wa kunasa mawimbi tofauti tofauti kwa wakati mmoja kama radio, GPS, mawasiliano na minara ya simu, signal za satelite n.k.
Bila kua na hiyo Shark fin, magari yangetakiwa kuwa na antena moja kwa kila aina ya mawimbi itakayopokea.
Antena za kisasa, si ndio? Ila majibu yote ya wadau sahihi kuanzia aerodynamics, antena, kelele za upepo, muonekano nk.
Swali zuri Sana me pia nikiwaza ukiachana na kuongeza mwonekano, Ina kazi gani nyingine!! 🤔 🤔.