Hichi kifaa katika magari huwa kina kazi gani maalum?

Air stable motion.
Kuna fizikia fulani ambayo kinaipa gari lako control nzuri.

Sio mtaalamu sana fizikia ila niliona kwenye makala za technology.Achana na mipira sijui gori la manyonyo.
Nafikr ni mambo ya aerodynamics 🤔
 
Inaitwa Shark-fin.

Hiyo ni mbadala wa antena za kizamani, ambayo ndani inakua na uwezo wa kunasa mawimbi tofauti tofauti kwa wakati mmoja kama radio, GPS, mawasiliano na minara ya simu, signal za satelite n.k.

Bila kua na hiyo Shark fin, magari yangetakiwa kuwa na antena moja kwa kila aina ya mawimbi itakayopokea.
 
Angalau kidogo, wewe umeeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…