Hichi ndicho kilichoandikwa na vyombo vya habari vya Swaziland Baada ya Kipigo

Mimi ni simba damu ila katika kitu ambacho tunahitaji kujiangalia ni kuajili wachezaji wengi wa kigeni itakuja kutucost sana kwenye timu ya taifa..ni muda muafaka kuanza wekeza kwenye timu b ya vijana

SIMBA SPORTS CLUB MILES APART


Such was the gulf in class between the two sides that while Swallows had only two internationals in their starting line-up – themselves benchwarmers at Sihlangu – the visitors had six internationals including undoubted man of the match in Zambia’s Clatous Chota Chama who not only scored two goals but ran rings around Swallows’ disjointed midfield the whole afternoon with consummate ease. The Tanzanians were strong in every department; it was unbelievable that our so-called best team in the country played second fiddle the whole 90 minutes of play.
 
Hao wabongo nao waende kutafuta timu nje....This is Simber bro!!!!
 
Naona hapo wamemsifia sana Chama. Mwamba wa Lusaka.
 
jukumu la kuendeleza timu ya taifa ni la tff na sio simba ht ingekuwa utartbu kusajir wachezaj wa nje 20 tunge sajiri2 habari za taifa stats kupotezeana muda tu
 
jukumu la kuendeleza timu ya taifa ni la tff na sio simba ht ingekuwa utartbu kusajir wachezaj wa nje 20 tunge sajiri2 habari za taifa stars kupotezeana muda tu
 
 
 
Timu ya taifa ugonjwa wa moyo, simba ndio timu ya taifa iyo nyingine waache ombaomba fc
 
Migongo wazi leo kapigwa 2-1 na Sumbawanga United kwenye champions League.Mechi ya marudiano wiki ijayo.
 

= kuajiri

Una mawazo ya kizamani. Mpira ni biashara kama ilivyo kuwa biashara ya utumwa. Huo ni utumwa mambo leo.

Leo unamnunua mtu huyu kesho unamuuza kule na hana ujanja. Mikataba ya kitumwa na uangalizi wa kitumwa wa Kimataifa unafanya watumwa wasiwe na lolote zaidi ya kutii.

Watumwa wa kitanzania hawalipi sana kwa sasa. Ni mmoja mmoja tu wanaelipa. Wengine wakienda kukaguliwa huko nje hawakidhi vigezo. Hasara.

Hakuna mtumwa anaependwa kwa utaifa wake anapendwa kwa kazi yake.
Amini usiamini.
 
Shikamoo dada.
 
Congo hakuna limiti ya Club kusajili, wechezaji wa kigeni, je kiwango chao kwenye timu ya Taifa, kikoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…