isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Congo DR ni 4x zaidi ya Tanzania last time nakumbuka wamefika Quarter Final AFCON na ranking ya Coca-Cola FIFA walikuwa 84Congo hakuna limiti ya Club kusajili, wechezaji wa kigeni, je kiwango chao kwenye timu ya Taifa, kikoje.