Hichi ndicho kilichoandikwa na vyombo vya habari vya Swaziland Baada ya Kipigo

Hichi ndicho kilichoandikwa na vyombo vya habari vya Swaziland Baada ya Kipigo

Congo hakuna limiti ya Club kusajili, wechezaji wa kigeni, je kiwango chao kwenye timu ya Taifa, kikoje.
Congo DR ni 4x zaidi ya Tanzania last time nakumbuka wamefika Quarter Final AFCON na ranking ya Coca-Cola FIFA walikuwa 84
 
= kuajiri

Una mawazo ya kizamani. Mpira ni biashara kama ilivyo kuwa biashara ya utumwa. Huo ni utumwa mambo leo.

Leo unamnunua mtu huyu kesho unamuuza kule na hana ujanja. Mikataba ya kitumwa na uangalizi wa kitumwa wa Kimataifa unafanya watumwa wasiwe na lolote zaidi ya kutii.

Watumwa wa kitanzania hawalipi sana kwa sasa. Ni mmoja mmoja tu wanaelipa. Wengine wakienda kukaguliwa huko nje hawakidhi vigezo. Hasara.

Hakuna mtumwa anaependwa kwa utaifa wake anapendwa kwa kazi yake.
Amini usiamini.
Karibu sokani bibi mkongwe
 
Congo hakuna limiti ya Club kusajili, wechezaji wa kigeni, je kiwango chao kwenye timu ya Taifa, kikoje.
Huyo hajui mpira, hii stars enzi za JK ilikula bata sana lakini hakuwa tofauti na ile timu ya bakuli kwenye club bingwa na shirikisho
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom