Hichi ndio kipindi kizuri cha WAZIRI wa MAJI kuzindua na kuonesha MIRADI YAKE hapa nchini

Hichi ndio kipindi kizuri cha WAZIRI wa MAJI kuzindua na kuonesha MIRADI YAKE hapa nchini

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
2,122
Reaction score
5,319
Kipindi kama hichi ndio watu huanza kushea maji ya kunywa na wanyama,sehemu nyingine maji hutoka kwa hawamu na sehemu nyingine mabomba yamenuna mazima
 
Nashauri kwenye miji mikubwa kama dar wizara iweke miundombinu imara ya kupitisha maji lakini iwatumie wawekezaji(ikibidi wazungu)kuyasabamaza maji;sisi wenyewe tunaelekea kufeli
 
Back
Top Bottom