AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Nov 3, 2026 #1 Kipindi kama hichi ndio watu huanza kushea maji ya kunywa na wanyama,sehemu nyingine maji hutoka kwa hawamu na sehemu nyingine mabomba yamenuna mazima
Kipindi kama hichi ndio watu huanza kushea maji ya kunywa na wanyama,sehemu nyingine maji hutoka kwa hawamu na sehemu nyingine mabomba yamenuna mazima
T tungatagaga JF-Expert Member Joined Aug 18, 2024 Posts 686 Reaction score 928 Nov 3, 2026 #2 Nashauri kwenye miji mikubwa kama dar wizara iweke miundombinu imara ya kupitisha maji lakini iwatumie wawekezaji(ikibidi wazungu)kuyasabamaza maji;sisi wenyewe tunaelekea kufeli
Nashauri kwenye miji mikubwa kama dar wizara iweke miundombinu imara ya kupitisha maji lakini iwatumie wawekezaji(ikibidi wazungu)kuyasabamaza maji;sisi wenyewe tunaelekea kufeli