SI KWELI Hichilema anafadhili ujenzi wa jengo la ACT Wazalendo

SI KWELI Hichilema anafadhili ujenzi wa jengo la ACT Wazalendo

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
MADAI
Kiongozi mmoja wa Nchi jirani anatajwa kuwa miongoni mwa wafadhili wa ACT Wazalendo na kuwezesha kupatikana kwa ofisi ya kisasa inayomilikiwa na chama hicho ambapo kuna ukumbi wa mikutano wa chama hicho wenye kubeba watu 1000 umepewa jina la HICHILEMA HALL


1666700603961.png
 
Tunachokijua
JamiiForums imefanya mawasiliano na Zitto Zuberi Kabwe, amekubali kuhusu kuwepo kwa mchakato wa kulikamilisha jengo hilo.

Aidha kwa upande mwingine Zitto amekanusha madai ya kwamba ujenzi wa jengo hilo unafadhiliwa na kiongozi wa nchi jirani. Amesisitiza kuwa ni habari ya kupuuzwa.
Back
Top Bottom