Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Noma.Mi yananisikitisha tu.sio Kwa mtu aliepevuka Bali Kwa watoto.kuna kipindi watoto wa shule walikua wanapewa mimba sana kisa chips..nliwaza sijapata jibu.
Huyu jamaa mwenye Uzi ndo kanikumbusha.
Halafu watu tuna level ya kuelewa na kujali tofauti sana.
Mtu ambaye hajali anakuja anaandika mambo haya kama mambo madogo rahisi tu. Inafikia wakati unaona kabisa this is bordeline rape attempt, na hayo ndiyo aliyofunguka tu.
Halafu mtu mwingine anajali hata ikiwa hajafanya yeye.