Hifadhi wa maji ya mvua

Hifadhi wa maji ya mvua

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1639153520494.png

Kuna kisima chini kinakusanya maji kutoka kwenye gutters, wakati wa kutumia yanavutwa kwa pump na kujaa kwenye mapipa.
M
 
View attachment 2039600
Kuna kisima chini kinakusanya maji kutoka kwenye gutters, wakati wa kutumia yanavutwa kwa pump na kujaa kwenye mapipa.
M

Kilichofanyika hapo sidhani kami ni hvyo ulivyosema mkuu! Maji hapo yanatoka direct kwenye gutters yanaingia kwenye mapipa na kutumika, ilo bomba lingne kushoto kitaalamu linaitwa overflow, maji yakijaa hilo tank la juu na mvua bado inanyesha basi maji yataenda direct kwnye overflow kwenda yalipoelekezewa (picha aionesh overflow inatemea kwnye nn).

Hapo hakuna pump!
 
Back
Top Bottom