Kilichofanyika hapo sidhani kami ni hvyo ulivyosema mkuu! Maji hapo yanatoka direct kwenye gutters yanaingia kwenye mapipa na kutumika, ilo bomba lingne kushoto kitaalamu linaitwa overflow, maji yakijaa hilo tank la juu na mvua bado inanyesha basi maji yataenda direct kwnye overflow kwenda yalipoelekezewa (picha aionesh overflow inatemea kwnye nn).