Former JKUAT student Allan Omondi ameshinda kesi dhidi ya serikali baada ya High Court kuamuru Inspector-General of Police pamoja na Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) kumlipa KSh 8 million kama compensation kwa police brutality, unlawful detention na violation of his constitutional rights.
Justice Patricia Nyaundi aliamua kuwa ODPP ilikiuka haki za Omondi kwa kushindwa kuwafungulia mashtaka maafisa wa polisi waliompiga wakati wa maandamano ya mwaka 2019, licha ya kuwepo kwa ushahidi wa kutosha. Mahakama ilisema hatua hiyo ilimnyima haki ya kupata justice na accountability.
Kiasi hicho cha KSh 8 million kimetolewa kama damages kwa kuvunjwa kwa haki zake, ikiwemo right to human dignity. Mahakama pia ilishikilia kuwa Inspector-General wa Polisi na ODPP wanawajibika kwa madhara aliyopata Omondi.
Katika uamuzi huo, Independent Policing Oversight Authority (IPOA) pamoja na Attorney-General waliondolewa lawamani, huku mahakama ikieleza kuwa hawakuwa na wajibu wa moja kwa moja katika kushindwa kuwachukulia hatua maafisa waliohusika.
Uamuzi huu unaonekana kama landmark ruling katika vita dhidi ya police brutality nchini Kenya, ukituma ujumbe kwamba state institutions zina wajibu wa kuhakikisha maafisa wanaokiuka sheria wanawajibishwa na haki za wananchi zinalindwa.