VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
hivi wadau kwanini kesi nyingi zinazoamuliwa na mahakama kuu huwa na dosari nyingi na zinapopelekwa mahakama ya rufaa zinabatilishwa? je kuna udhaifu wa majaji katika mahakama kuu? je ni hatua zipi huchukuliwa kwa jaji anayetoa hukumu isiyo ya haki kwa kudhamiria au kwa uelewa mdogo wa sheria?