HIGH COURT Vs COURT OF APPEAL

HIGH COURT Vs COURT OF APPEAL

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
2,987
Reaction score
1,954
hivi wadau kwanini kesi nyingi zinazoamuliwa na mahakama kuu huwa na dosari nyingi na zinapopelekwa mahakama ya rufaa zinabatilishwa? je kuna udhaifu wa majaji katika mahakama kuu? je ni hatua zipi huchukuliwa kwa jaji anayetoa hukumu isiyo ya haki kwa kudhamiria au kwa uelewa mdogo wa sheria?
 
Umeleta hoja ya msingi sana. Yoye yanawezekana-uelewa mdogo wa sheria na kudhamiria kwa ajili ya rushwa au shinikizo la siasa. pamoja na hayo tatizo lingine linaletwa na Mheshimiwa rais Kikwete kuwachagua majaji wasio na sifa. Hasa sababu kubwa ni hiyo. Tundu Lisu amesema wazi na Kikwete akabisha kuwa Lisu anataka umaarufu. Nimesema mara nyingi humu kuwa angalia hukumu za majaji Lugakingira +, Katiti+, Mroso+, Mwalusanya+ na wengine wengi wa zamani kutoka High court, kesi walizoamua ndizo ziko kwenye TLR. Hawa wa EPE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nadhani kuna haja ya kuwa na mfumo wa kuwa na classess(A+,A,A-,B+,B,B-,C+,C &C-) za majaji kulingana na umakini wa kesi walizosimamia. Grade hizi ziendane na % ya kesi ulizotoa hukumu na zikawa sahihi. Na kuwe na Kesi fulani ambazo ni lazima uwe na rekodi fulani ndipo uruhusiwe kusikiza hizo kesi.
 
Nadhani inabidi tufuate mfumo wa kenya ambao ukiteuliwa lazima uthibitishwe na chombo kingine
 
hili ni swala la msingi sana...liwekwe kwenye katiba kabisa...
 
CA ina rely sana kwenye procedures...na rechnicalities so ukikosea procedure moja tu wana strike out..hiyo kesi ndo mana matokeo ya kesi za HC nyingi zinabatilishwa CA
 
Back
Top Bottom