Umeleta hoja ya msingi sana. Yoye yanawezekana-uelewa mdogo wa sheria na kudhamiria kwa ajili ya rushwa au shinikizo la siasa. pamoja na hayo tatizo lingine linaletwa na Mheshimiwa rais Kikwete kuwachagua majaji wasio na sifa. Hasa sababu kubwa ni hiyo. Tundu Lisu amesema wazi na Kikwete akabisha kuwa Lisu anataka umaarufu. Nimesema mara nyingi humu kuwa angalia hukumu za majaji Lugakingira +, Katiti+, Mroso+, Mwalusanya+ na wengine wengi wa zamani kutoka High court, kesi walizoamua ndizo ziko kwenye TLR. Hawa wa EPE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!