vipi kama kapewa mgao wa urithi? au kacheza bet au kahongwa?Ukiwa na mtaji halafu hujui cha kufanya, ni ubabaifu mkubwa.
Kama kweli unayo hiyo fedha basi ungekuwa unajua cha kutanya kwa sababu, njia ulizozitumia kuipata ungezitumia kuiongeza, na usingekuja kutafuta ushauri hapa.
Inawezekana kabisa ila biashara ambayo inaweza kukupa return ya 30% risk ya kupoteza capital nayo inaongezeka.Milion 10 upate faida Milion 3 kwa mwezi kila mtu siangekuwa tajiri?
Fungua kanisa uza mpaka nyasi za upako watu watanunuamiradi gani ambayo unaweza ukaanza nayo na mtaji mdogo say 10 - 15m ambayo inaweza kukuzalishia at least a net profit of 3 - 3.5M per month.
asante sana nduguNaona tumsaidie. Kama huna cha kumsaidia, basi kaa kimya. Let us be fair to one another.
Hahahaaa, aya bhanaFungua kanisa uza mpaka nyasi za upako watu watanunua
Be open minded, siyo kwamba sina shughuli ya kufanya, i'm a consultant shughuli ambayo ni highly taxed lakini pia hela yake inaingia kwa msimu. Nataka kufanya shughuli tofauti ambayo inaweza kuwa na regular incomeUkiwa na mtaji halafu hujui cha kufanya, ni ubabaifu mkubwa.
Kama kweli unayo hiyo fedha basi ungekuwa unajua cha kutanya kwa sababu, njia ulizozitumia kuipata ungezitumia kuiongeza, na usingekuja kutafuta ushauri hapa.
Vijana kama wew mna mchango wa ovyo sana kwenye hili taifa,Ukiwa na mtaji halafu hujui cha kufanya, ni ubabaifu mkubwa.
Kama kweli unayo hiyo fedha basi ungekuwa unajua cha kutanya kwa sababu, njia ulizozitumia kuipata ungezitumia kuiongeza, na usingekuja kutafuta ushauri hapa.
Akipambana Sana Sana ataishia 10% kupata hiyo 30% continues labda biashara imara SanaInawezekana kabisa ila biashara ambayo inaweza kukupa return ya 30% risk ya kupoteza capital nayo inaongezeka.
Sasa michongo yote hiyo aliyopitia hadi kupata hiyo hela anashindwa nini kujua cha kufanyia?Vijana kama wew mna mchango wa ovyo sana kwenye hili taifa,
Kwa hio kama kasave kwenye mshahara? Kama ana access ya kukopa hizo pesa? Kama ni za urithi? Kama kapiga deal la wizi? Kama kafanya biashara lakin hio biashara ipo on maturation point, so anahitaji another bizness ya kumkeep safe ?
Achen kuwa na michango ya hovyo bora mlale tu
Haya nambie kama ni fedha kuna mtu kamwambia anamkopesha ?Sasa michongo yote hiyo aliyopitia hadi kupata hiyo hela anashindwa nini kujua cha kufanyia?
so you know each and every business just because you have the money? I find your argument ridiculous.Sasa michongo yote hiyo aliyopitia hadi kupata hiyo hela anashindwa nini kujua cha kufanyia?
Siyo ninajua kila kitu ila kuna kununi za biasharaso you know each and every business just because you have the money? I find your argument ridiculous.
Mkuu nimekucheki Pm naona umefunga, nilikuwa naomba tuwasiliane kidogoMimi Nina biashara investing capital NI 500k ila profit per month ni 700+k
NI miaka miwili sasa natembea kwenye profit hiyo