High income generating, low investment capital

High income generating, low investment capital

hapana hii ngumu sana,million kumi tu upate 3 milion NP.

Sikia mkuu,maendeleo ni mchakato,lazima uzike ela kwanza kwa muda mrefu then baadae ndio uanze kukusanya faida.

Kwa jinsi nilivyokusoma kwa haraka haraka mradi unaoufikiria ni biashara tu kwa maneno mengine udalali ambapo inakubidi uweke mtaji mkubwa ili upate faida hiyo.

Sasa sikia Mkuu kuna hichi kilimo cha perenial crops,angalia eneo utokalo/unaloishi kuna zao gani ambalo ni perenial crops.Jikite humo baada ya miaka mitano mkuu ya kuanza kuvuna zao hilo utakuwa mbali sana hizo net profit za 3 millions utakuwa unaziokota tu pesa unaenda kukutana nayo bank.
Asante mkuu, kwa ushauri, ikibidi nitaomba ushauri zaidi.
 
Wakuu kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu nimejifanyia analysis kujua kwa nini nina income kidogo ukilinganisha na mahitaji ya kila mwaka.

Katika kujifanyia fair anaysis nikapata vikwazo saba, one of them is that I'm not engaged in high income generating activities leave alone lacking regular / daily income.

Katika kutafuta majibu nikakosa majibu ya haraka lakini nikasema ngoja niwashirikishe wana JF ni miradi gani ambayo unaweza ukaanza nayo na mtaji mdogo say 10 - 15m ambayo inaweza kukuzalishia at least a net profit of 3 - 3.5M per month.
Nakaribisha mapendekezo na maoni.

wasalaam.
Butchery
yes, Butchery.

Ukifungua butcher angalu sehemu mbili hadi nne tofauti, na ukaweza kumanage kununua ngombe wako mwenyewe na kuchinja yafuatayo ndo mazao ya ng'ombe.

1. Ngozi, kichwa, mapembe, mkia, ulimi na miguu (vyote kwa pamoja unaweza uza kwa 30,000/= hadi 51,000/=)

2. Utapata utumbo kwa ngombe wa kawaida ni kg 8 - 15 (kila kilo ukiuzia machinjioni ili kuondoa usumbufu utauza kwa Tsh 3,000/=)

3. Maini kwa ng'ombe wa kawaida anatoa kg 2 hadi 2.5 (Pia ukiamua kuuza machinjioni utauza kwa 8,000/= kwa kila kilo)

4. Nyama nadhani unafahamu bei yake.

Kumbuka ng'ombe kwa ujumla anaweza kuleta faida kuanzia 20% - 50% ya manunuzi inategemea.

Hivyo hauwezi kukosa kuanzia 50,000- 200,000 kama faida kwa siku, kwa mwezi profit inaweza kuwa 1.5M hadi 6M inategemea.

Nimeambatanisha screen shoot ya ng'ombe niliyechinja leo.

Angalizo: Hasara ni kugusa tu na faida vilevile ni kugusa tu, kuwa makini kwa mwanzo simamia biashara mwenyewe.

Capital kwa kila butcher ni 2M(Setup, mzani digital, vifaa local, sale, na vibali).

Wasaaaalam.

Langu jina ninaitwa
Machepele.
Screenshot_20231203_142750_Samsung Notes.jpg
 
Ukiwa na mtaji halafu hujui cha kufanya, ni ubabaifu mkubwa.

Kama kweli unayo hiyo fedha basi ungekuwa unajua cha kufanya kwa sababu, njia ulizozitumia kuipata ungezitumia kuiongeza, na usingekuja kutafuta ushauri hapa.
Mla rushwa hyu
 
Kama amelipwa pesa yake ya nssf...
 
Butchery
yes, Butchery.

Ukifungua butcher angalu sehemu mbili hadi nne tofauti, na ukaweza kumanage kununua ngombe wako mwenyewe na kuchinja yafuatayo ndo mazao ya ng'ombe.

1. Ngozi, kichwa, mapembe, mkia, ulimi na miguu (vyote kwa pamoja unaweza uza kwa 30,000/= hadi 51,000/=)

2. Utapata utumbo kwa ngombe wa kawaida ni kg 8 - 15 (kila kilo ukiuzia machinjioni ili kuondoa usumbufu utauza kwa Tsh 3,000/=)

3. Maini kwa ng'ombe wa kawaida anatoa kg 2 hadi 2.5 (Pia ukiamua kuuza machinjioni utauza kwa 8,000/= kwa kila kilo)

4. Nyama nadhani unafahamu bei yake.

Kumbuka ng'ombe kwa ujumla anaweza kuleta faida kuanzia 20% - 50% ya manunuzi inategemea.

Hivyo hauwezi kukosa kuanzia 50,000- 200,000 kama faida kwa siku, kwa mwezi profit inaweza kuwa 1.5M hadi 6M inategemea.

Nimeambatanisha screen shoot ya ng'ombe niliyechinja leo.

Angalizo: Hasara ni kugusa tu na faida vilevile ni kugusa tu, kuwa makini kwa mwanzo simamia biashara mwenyewe.

Capital kwa kila butcher ni 2M(Setup, mzani digital, vifaa local, sale, na vibali).

Wasaaaalam.

Langu jina ninaitwa
Machepele.View attachment 2832140
Asante sana ndugu, nitakutafuta kwa msaada zaidi.
 
Kupesha hela za riba,ila lazima mtu aache dhamana.
 
Back
Top Bottom